Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba akiongea kabla ya kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Mteja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa wateja Deogratius Hugo na Lulu Mashiba.
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakiwa wameshikana mikono kuonyesha
mshikamano wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Mteja.
Afisa Huduma kwa Wateja, Deogratius Hugo akiongea machache wakati wa
uzinduzi wa maadhimisho ya wiki wa Wateja yaliyofanyika katika ofisi za
Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba
akiongea kabla ya kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Mteja
yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa wateja Deogratius Hugo na Lulu
Mashiba.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba (wa pili
kulia) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania kukata keki ya
maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za Airtel Makao
Makuu jijini Dar es Salaam. Pembeni yake anayeshuhudia ni Pembeni yake
kulia ni Afisa huduma kwa Mteja Deogratius Hugo.
Akikata kata keki kwa ajili ya kuwalisha wateja.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Liamba akimlisha
mmoja ya wateja ambaye aliungana na Aitel Tanzania katika maadhimisho
ya Huduma kwa Mteja. Pembeni yake kulia ni Afisa huduma kwa wateja
Deogratius Hugo.
Wateja wa Airtel Tanzania wakipatiwa huduma katika ofisi ya Airtel Tanzania iliyopo Moroko jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment