Vijana wa sarakasi wakifanya mambo yao katika tamasha la Nyama Choma lililofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya viwanja vya Sayansi jijini Dar es Salaam. Tamasha hili lilidhaminiwa na Heineken Tanzania.
 Marafiki wakishow love.
 Hapa ilikuwa  ni mwendo wa moja moja...
 Wengine nao walijifanya kuipa kisogo kamera ya Kajunason blog.
 Hata sisi tulikuwepo...
 Mavituzi.
 Huduma ilikuwepo ya kutosha.
 Mchezo wa Foosball nao ulikuwepo.
 Wadau wakipata Heineken baridiiiii
 Mdau nae akishow love...
 Vyupa vya kutoshaaa...
 ...furaha kila kona...
Hawa ni wadau ambao waliitendea haki kamera ya Kajunason Blog.
 ...sitaki kuulizwa chochoteee, wewe angalia tu
 Dj Choka na Lulu nao walikuwepo...
 Ubunifu katika biashara...
 ...Leo zitanikoma mbona
 Mdau nae kajikusanyia vyupa vyake vya kutoshaaa... yani kaweka stock.
 Mdau wangu wa nguvu nae alikuwepo...
 ...usidhani zimewekwa mapambo bali zilikuwa zinatumika.
Showlove...
Tunawakilisha...
 Cpwa, Lulu na Yuzomatatoo
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: