Pages

Friday, 27 July 2012

WACHAGA KUESHEREKEA SIKU YAO KESHO JUMAMOSI LIDAZ CLUB

Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya MyWay Entertainment, Paul Maganga (Kulia) akielezea juu ya tamasha maalum la siku ya Wachaga  lililodhaminiwa na Pepsi, litakalofanyika siku ya Jumamosi Julai 28,Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, ambapo pia litasindikizwa na bendi za Msondo Ngoma, Twanga Pepeta na vikundi vingine vya ngoma ya asili, (Kushoto) Ni Fredrick Mtaki, Afisa Mahusiano wa kampuni hiyo.

No comments:

Post a Comment