Pages

Thursday, 26 July 2012

MWANAMUZIKI JOSE CHAMELEONE AFANYA MAANDAMANO KUSHINIKIZA AREJESHEWE PASSPORT YAKE NA ERIC SHIGONGO

'Nahitaji paspoti yangu', 'Tanzania naomba mnisaidie', 'Eric Shigongo je uko juu ya sheria?' ni baadhi ya maneno yanayosomeka kwenye mabango ya waandamanaji hao.
Mwanamuziki maarufu Afrika Mashariki Jose Chameleone akiwa na wafuasi wake nje ya mjengo wa ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini Uganda akishinikiza apatiwe Hati yake ya kusafiria (Passport) yake inayodaiwa kushikiliwa na mtanzania Erick Shigongo.


No comments:

Post a Comment