Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana ya kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Home
Unlabelled
SUPER D AENDEREA KUWAFUA MABONDIA WA KAMBI YA ILALA KWA AJILI YA MPAMBANO WA KUMI BORA JUNE 15
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments: