Wadau wakijiachia.
Msanii wa Machozi Bendi, Sam Machozi akitoa burudani pamoja na Bendi ya SkyLight.
Aha! Sam akiandelea kunogesha.
Mambo yote ya Mitambo yakiendelea kuwekwa sawa.
Kutoka Kulia ni Kiongozi wa Bendi ya SkyLight, Aneth Kushaba, Mgeni aliyealikwa Sam Machozi pamoja na Mwanadada.
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha CCM, Vicky Kamata (mbele mwenye gauni nyekundu) akilishakata rumba na rafiki yake..
Rumba limenoga...
Mambo ya mauno nayo yalikuwepo.
Twendeeeeeeeeeeeeeee...
Baadhi ya Warembo wa Miss Dar InterCollege waliohudhuria katika uzinduzi huo wa SkyLight bendi.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi (kati) akiwa na mkurugenzi wa Ndege Insurance Bw. Sebastian Ndege wakijiachia na SkyLight Bendi.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi akijiachia na Mbunge wa Viti Maalum Vicky Kamata.
Uhondo zaidi; Keep Refreshing the Page...


Toa Maoni Yako:
0 comments: