Wateja wa Airtel wakiwa na zawadi zao za simu aina ya Samsung mara baada kununua moderm za Airtel zenye kasi ya 3.75G,shoto ni Meneja Mauzo wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel-Morogoro,Aluta Kweka.
Wasanii wa kundi la Mashujaa band wakiongozwa na raisi wa band hiyo (pichani kati) Charles Baba a.k.a Kingunge wakiwasha moto jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.
Msanii wakundi maarufu nchini la Tip top connection lenye makazi yake jijini dare s salaam Manzese, Madee akiimba jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, arusha na Mwanza.
Msanii wa hip hop ROMA akighani jukwaani kuburudisha umati wa wakazi wa morogoro waliofurika uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa 5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, Arusha na Mwanza
Sehemu ya umati wa wakazi wa morogoro uliofurika kwenye uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndege kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Iringa, arusha na Mwanza.


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments: