Ubao wa Matangazo... Ukionyesha Simba 2- Kiyovu 1
Mashabiki wakionyesha mashamu shamu yao...
 Nyomi ya kutosha
 Wekundu wa Terminal nao walikuwepo
 ...Walikuwa wakiimba hapa leo lazima Kiyovu walale tu
Tunawakilishaaaaa
 Simba TV nayo ilikuwa live, uwanjani
Purukushani za mashabiki huwa hazikosekani
 Pata ujumbe
 Mtangazaji wa Clouds Fm, Ephraim Kibonde awasalimia mashabiki wakati wa mechi kati ya Simba na Kiyovu ya Rwanda iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katika mecho hiyo Simba imeibuka kidedea kwa kushinda bao 2-1.
 Kundi la Wanaume Halisi likiwajibika. 
 Simba wa mjini
Mashabiki walijitokeza kwa wingi
 Burudani za kuhamasisha ushindi zilikuwepo
 Aha!
 Timu zikiingia uwanjani
 Simba haooooooooooo
 Simba
 Wachezaji wa Kiyovu, Rwanda wakiwasalimia waamuzi wa mchezo
 Wachezaji wa timu ya Kiyovu, Rwanda akiwasalimia wenzao wa timu ya Simba.
Hapa wakibadirishana nembo za timu zao.
 Picha ya kumbukumbu
 Kiyovu FC, Rwanda.
 Simba FC, Tanzania.
 Mchezaji wa Simba, Okwi akijaribu kuwachomoka walinda mlango wa timu ya Kiyovu.
 mwamuzi akionyesha ishara
 Mchezaji wa Simba, Sunzu akijaribu kunyakua mpira
 ...chenga nazo zilitawala
 Golikipa wa timu ya Simba Juma Kaseja akiwa makini golini kwake
...bora mpira uende wewe ubaki
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: