Pages

Sunday, 17 July 2011

UNAKUMBUKA ENZI HIZO???

 Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yessaya a.k.a AY akionyesha vitu vyake enzi hizo.
 Msanii wa kizazi kipya Bushoke wakati wa uzinduzi wake uliofanyika mjini Arusha miaka kadhaa iliyopita.
 Mtangazaji wa Clouds Fm Hamis Mandi a.k.a B-12 enzi hizo.
Hapa sina la kusema...

No comments:

Post a Comment