MAMBO YAMEIVA NDANI YA SERENGETI FIESTA 2011, ARACHUGAAAAA
Hawa ni wasanii wa Arusha ambao wameonekana kufanya vizuri sana katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Wakazi wa jijini Arusha ambao wamejitokeza katika tamasha Serengeti Fiesta 2011.
No comments:
Post a Comment