Dk Magufuli ambaye hadi sasa amefanya kampeni katika mikoa 22 kwa kusafiri kwa barabara kwa tkribani Km 20,000, amesema kuwa yeye ni rais kwani anasubiri tu kuapishwa, baada ya uchaguzi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wakazi wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akiwahutubia na kuwaomba kura mjini Bomang'ombe, Jimbo la Hai lililokuwa linaonggozwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Dk Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni katika Mji wa Bomang'ombe, wilayani Hai leo.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimtambulisha Katibu wa Chadema Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Jubilant Lema ambaye alitangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bomang'ombe
Akina dada wakishangilia kwa furaha baada ya kumona Dk Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni eneo la Usa River Jimbo la Arumeru Mashariki.
Dk Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali mstaafuMirisho Sarakikyawa mkutano wa kampeni mjini Usa River, Jimbo la Arumeru Mashariki, mkoani Arusha.
Dk Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni katika Mji wa Usa River, Arusha leo.
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki John Pallangyo wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Usa River, Arusha.
Wagombea udiwani kupitia CCM Jimbo la Arumeru Mashariki wakijitambulisha kwa wananchi wakati wa mkutano huo wa kampeni katika Mji wa Usa River
Wananchi wakinyoosha mikono ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ZA URAIS Dk Magufuli Oktoba 25, MWAKA HUU.
Dk Magufuli akisalimiana na Emmanuel Nchimbi wakati wa kampeni za CCM wilayani Siha leo.
Sehemu ya wananchi katika mkutano wa kampeni mjini Siha, Mkoa ni Kilimanjaro
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro leo
Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Siha, AggreyMwanry wa mkutano wa kampeni
Moja ya mabango yaliyokuwepo kwenye mkutano wa kampeni katika mkutano uliohutubiwa na Dk Magufuli katika Jimbo la Hai.
Wakazi wa Uru, Jimbo la Moshi Vijijini, wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba za Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni
Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea ubunge Jimbo la Moshi Vijijini, Cyril Chami Ilani ya Uchaguzi ya CCM, wakati wa mkutano wa kampeni Uru, Kilimanjaro
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ushirika Moshi, wakishangilia baada ya kuahidiwa na Dk Magufuli kuwa atasimamia suala la mikopo kwa wanafunzi ili wawe wanapata kwa muda muafaka.
Wimbo uliotungwa na wasanii wa Tanzania unaosisitiza kutunza amani iliyopo wakiimba wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi, Kilimanjaro
Mgombea ubunge Jimbo la Simanjiro, Christopher Ole Sendeka akimuombea kura Dk Magufuli na kuwashawishi watanzania kutompigia kura Mgombea wa Ukawa, Edward
Emmanuel nchimbi akimuombea kura Dk Magufuli katika mkutano huo.
Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi.
Viongozi wa CCM, Kutoka kushoto
Dk Magufuli akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha wakati wa mkutrano wa kampeni kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Moshi.
Dk Magufuli akiwahesabia baadhi ya viongozi waliokuwa wakifanya mazoezi ya Push Up mjini Moshi. Wa tatu kulia ni Mgombea ubunge Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature, akitumbuiza wakati wa mkutano huo.Kushoto ni mchekeshaji Ally Yanga.
Baadhi ya wananfunzi wakishiriki kuimba wimbo wa wasanii wa kudumisha amani iliyopo
Dk Magufuli akisalimiana na msanii Juma Nature
Toa Maoni Yako:
0 comments: