Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM:
Jukwaa la katiba Tanzania (JUKATA) limemteka Rais Jakaya Mrisho kumchukulia hatua haraka iwezekananvyo Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo kutokana na tuhuma zinazomkabili za kuhusiana na sakata tegeta Escrow lililo ibuliwa bungeni nwaka huu.
Hayo yamesemwa mapema leo Makamu Mwenyekiti wa Jukata Hebron Mwagenda wakati akitoa Tathimini ya baadhi ya matukio yaliyofanyika ya mwaka mzima ambapo ikiwemo suala zima la mchakato wa katiba, Sula la Escrowa pamoja na Uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwakagenda amesema kwamba hakuna haja ya Rais kuendelea kusubiri bila ya kuchukua hatua kwa baadhi ya viongozi walihusika na suala hilo ambalo hadi leo linawapawafanyakazi wa serikalaini wakati mgumu kutokana na mishahara yao kutotolewa kwa wakati sababu ya wafadhili kusitisha baadhi ya misaada yao hapa nchini.
Aidha mwakagenda ameishi serikali kuhairisha ,mchaklato mzima wa kura za maoni kuhusiana na katiba mpya ili kupisha kwanza uchaguzi mkuu wa urais na ubunge unaotarajia kufanyika hapo mwakani.
Toa Maoni Yako:
0 comments: