Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumapili Desemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014. PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: