Wasanii wa kundi la Original Komedi wakitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Welcome Pack lililofanyika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza juzi, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo
 Mwana HipHop Hamisi Mwinyijuma maarufu MwanaFA akiwaburudisha mashabiki waliofurika kwenye tamasha la Tigo Welcome Pack lililofanyika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza juzi, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo. 
Msanii Young Killer akitoa shoo kwa mashabiki waliofurika kwenye tamasha la Tigo Welcome Pack lililofanyika uwanja wa ccm Kirumba Mwanza juzi, kampeni ya welcome pack inawawezesha wateja wa Tigo kujua huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: