Asia Kinjenga kulia akiwa na nyuso ya furaha pamoja na mwenzie Felician Francis baada ya kumaliza digrii ya elimu ya jamii katika sosholojia wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam hivi karibuni.
Asia Kinjenga wa pili kulia akiwa na wahitimu wenzie wa mahafali ya 48 katika chuo kikuu cha Dar es salaam.
Asia Kinjenga akiwa na familia yake.
Asia Kinjenga kulia akipongezwa kwa kuvalishwa shada la maua na mama yake mzazi Bi. Anchimole Lutengano wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam hivi karibuni.
Asia Kinjenga katikati akiwa na mama yake mzazi Anchimole Lutengano kulia na bibi yake wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam hivi karibuni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: