Makamu Rais wa timu ya Simba, Geofrey Nyange Kaburu akipuliza Vuvuzela jana kwenye kiwanda cha Bia ,mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliwakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
 Makamu Rais wa timu ya Simba, Geofrey Nyange Kaburu (kushoto) na Mjumbe Kamati Kuu ya timu ya Yanga, Mohamed Binda, wakicheza danadana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe kwenye kiwanda cha Bia mkoani Arusha jana.
Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha kampuni ya Bia mkoani Arusha wakivuta kamba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliyowakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: