Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akipambana na
mshambuliji wa Simba, Elius Maguri (katikati) huku Kelvin Yondani wa Yanga akiwa tayari kutoa msaada wakati wa mchezo namba 27 wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
Kipa wa Yanga Deogratias Munishi akiokoa mpira.
Mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga, Oscar Joshua (kulia). 
 Kocha wa Simba, Patrick Phir akiingia uwanjani.
Shabiki wa Simba.
Mashabiki wa Yanga.
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo akiingia Uwanjani.
Waamuzi wa mchezo huo.
 Mashabiki wa Simba wakimpa fedha kipa wa Simba, Manyika Peter baada ya kuokoa hatari nyingi langoni mwake. (Picha na Francis Dande)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: