Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Mheshimiwa Samia Hassan Suluhu akizungumza katika uzinduzi wa  shirika la ndege ya FlyDubai uliofanyika katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. Ndege hiyo aina ya Boeing 737-800 itakuwa inafanya safari zake kutoka Dubai, Dar es Salaam mpaka Zanzibar.

Naibu Mkuu wa Rais wa Biashara (GCC, Bara Dogo na Afrika), Sudhir Sreedharan akitoa ufafanuzi juu ya shirika la ndege lililokuwa likizindua ndege katika sherehe zilizofanyika  katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. Ndege hiyo aina ya Boeing 737-800 itakuwa ikifanya safari zake kutoka Dubai, Dar es Salaam mpaka Zanzibar.
Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omary Mjenga akiwashukuru wawekezaji kuja nchini Tanzania ambapo itafungua milango mingi ya watalii na kukuza biashara.
Makamu wa Rais wa ndege ya Fly Dubai, Sudhir Sreedharan akitoa zawadi kwa Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Mhesimiwa Samia Hassan Suluhu wakati wa sherehe za uzinduzi wa ndege ya FlyDubai katikaUwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam. Ndege hiyo aina ya Boeing 737-800 itakayokuwa inatoka Dubai, Dar es Salaam mpaka Zanzibar.

Wageni wakiwa katika picha ya pamoja.
Wageni waalikwa.
Wageni wakiwa katika uzinduzi.


Ndege ya FlyDubai ikiwa tayari imetua jijini Dar es Salaam.
Utambulisho ukiendelea.
Wageni wakijongea eneo la tukio.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: