Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakicheza muziki katika eneo la Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam jana wakati wa shamrashamra za kuitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa mashabiki wa timu mbili hizo jijini Dar es salaam. Kampeni hiyo inayoendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
 Mashabiki wa Timu ya Yanga na Simba wakishindana kupuliza Vuvuzela wakati walipokuwa wakizunguka katika maeneo ya jiji la Dar es Salaam jana kuitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa mashabiki wa timu mbili hizo inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager
 Magari ya matangazo, yakiwa katika maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam jana kuitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa mashabiki. Kampeni hiyo inaendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager. 
 Wakishindana kupuliza Vuvuzela Vingunguti Dar es Salaam jana
Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakishindana kuvuta kamba wakati wa kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam jana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: