Mwishoni mwa wiki iliyopita katika ufukwe wa Azura ilifanyika party ya Just Got Paid iliyowakutanisha wakazi mbalimbali wa Dar es Salaam kusherehekea kuumalizia mwezi salama.

Party hiyo iliyodhaminiwa na bia ya Castle Lite na kufana ilitawaliwa na burudani ya muziki toka kwa Ma-DJ wakali ikiambatana na Castle Lite. Hizi ni baadhi ya taswira toka katika Party hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: