Mashabiki wa Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha TBL Mbeya wakishindana kupiga danadana wakati wa utambulisho wa Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mbeya jana.

George Kavishe, Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager na Mohammed Bhinda, Mjumbe wa Kamati a Utendaji ya Yanga wakishuhudia mchezo wa foosball kati ya wafanyakazi wafanyakazi wa kiwanda cha TBL Mbeya wakati wa utambulisho wa kampeini ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa wafanyakazi hao jijini Mbeya jana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: