Hivi karibuni serikali ilitangaza zoezi la kuanza kubadilisha namba za piki piki zote zinazotumiwa kibiashara/binafsi Oktoba 1, 2014 ambapo kwa sasa wananchi wanatakiwa kwenda na kadi halisi ya piki piki pamoja na shilingi 10,000/= ambapo zoezi hilo linatarajiwa kuchukua muda wa miezi sita mpaka likamilike.
Home
Unlabelled
NAMBA MPYA ZA PIKI PIKI ZAANZA KUTUMIKA RASMI TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: