Mfereji wa maji machafu katika eneo la Ubungo maji jijini Dar es Salaam umekuwa kero kwa wananchi wa maeneo hayo kutokana na maji hayo kutoa harufu mbaya. Mfereji huo ulitokana wakati wakitengeneza barabara ya mwendo kasi ambapo mradi huo unaonekana kuelekea mwishoni huku wakazi hao wakitaabika na mtaro huo ambao ulichobwa na kuachwa. Picha kwa hisani ya mdau wa Kajunason Blog, Michael Msombe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: