Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Msanii Aisha Mashauzi akitoa burudani katika Maadhimisho hayo.
Wanahabari wa katika engo ya kilammoja apate anacho kihitaji katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya Wadau wakifatilia kwa makini mtanange huo.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akimkabidhi Tuzo, Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga , Rashid Munyana, Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Mlimani City, (kulia) na kushoto ni Naibu waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akimkabidhi Tuzo, Katibu wa chama cha Ushirika Tingatinga, Rashid Munyana, Dar es Salaam jana katika Ukumbi wa Mlimani City, (kulia) na kushoto ni Naibu waziri wa Wizara ya Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo , Juma Nkamia..
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tunzo Edward Said Tingatinga msanii aliyejitolea maisha yake kwa Jamii, kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tunzo Josephat Kanuti msanii aliyejitolea maisha yake katika tasnia ya sanaa Nchini, kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platinum’ akifanya yake usiku huu Mlimani City akiwa na wacheza shoo wake.
Msanii Diamond Plutnams na kundi lake wakifanya mambo makubwa jukwaani wakati wa tamasha la siku ya wasanii duniani lililofanyika jana kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Wasanii wa Yamoto Bendi wakitoa burudani katika Maadhimisho hayo ya siku ya wasanii Duniani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: