Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto)  akikata utepe  kwa ajili ya kumkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi  Msasani  B,  Bw.Victor  Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati  pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule  hivi karibuni jijini Dar as Salaam.
 Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa, mikoba ya shule, vitabu na rangi
Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu wa Idara ya fedha ya FNB Bw.Luke Woodford akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani B wakati FNB ilipokabidhi madarasa yaliyokarabatiwa,  madawati na mikoba ya shule hivi karibunini jijini Dar as Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: