Rais wa Tanzania Mh.Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba wakati wa ufunguaji wa maonesho ya Kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba akifanya mahojiano na mwandishi wa Capital Tv Bi. Yvonne Msemembo kabla ya uzinduzi wa maonesho ya kimataifa ya Utalii Swahili Expo jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Bodi ya Utalii Afrika Kusini Bi. Evelyn Mahlaba akipozi kwenye picha ya pamoja na warembo(ushers) wanaosimamia banda la utalii la Afrika kusini kwenye maonesho ya kimataifa ya Swahili Expo Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: