Marefa wa timu za netiboliu wakijiandaa kufanya kazi yao.
 Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulikuwepo kwenye viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro kwa ajili ya watumishi wa Umma kupima afya zao.
 Timu ya kamba wa Wizara ya Ujenzi ikivutana na timu ya kamba ya Wizara ya Afya (haipo pichani) katika viwanja vya Jamhuri.
Timu ya kamba wa Wizara ya Afya ikivutana na timu ya kamba ya Wizara ya Ujenzi.
0152
 Watazamaji wakifuatilia mechi hizo katika viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
Timu ya kamba ya Ikulu ikivutana na timu ya kamba ya Utumishi.(haipo pichani) katika mashindano ya SHIMIWI yanayofanyika viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
Timu ya Netiboli ya Mkoa wa Simiyu ikifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza mechi viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: