Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akipokea dola elfu moja kutoka kwa Mkurugenzi wa masoko utafiti na huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwampamba kama mchango wake wa kuendeleza ujenzi wa Kanisa la kiinjili Moroviani Tanzania (KKMT) Mburahati jijini Dar es salaam. Kulia ni Askofu David Martin Mwalyambile wa Kanisa hilo Mama Pinda alikuwa mgeni rasmi katika kuendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa hilo ambapo ziliweza kupatikana kiasi cha shilingi milioni 128. Picha na Chris Mfinanga
 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akimshukuru mtoto Cecylia Mashaka Mwaisaka mwenye umri wa miaka mitatu kwa kuchanga mchango wake wa kuendeleza ujenzi wa Kanisa la Moroviani mburahati jijini Dar es Salaam.
 Kwaya ya kanisa la Moroviani Mburahati ikitumbuiza katika sherehe ya kuchangia ujenzi wa Kanisa lao.
Shughuli hiyo ilifanyika jana jumapili. Picha na Chris Mfinanga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: