![Picha Na 1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/Picha-Na-12.jpg)
![Picha Na 2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/Picha-Na-23.jpg)
![Picha Na 3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/Picha-Na-33.jpg)
Mmoja wa majaji Dkt. Yohana Mtoni (kushoto) akimsaidia mmoja wa watoto waliofika katika kisima cha maji cha Ilogi kuvuta maji. Kisima hicho kinafadhiliwa na mgodi wa Bulyanhulu
![Picha Na 4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/Picha-Na-42.jpg)
Meneja Mahusiano wa Mgodi wa Buzwagi uliopo Kahama, Shinyanga Bi. Dorothy Bikurakule ( wa kwanza kulia mbele) akiongoza jopo la majaji na sekretarieti kutembelea kituo cha afya cha Mwendakulima kinachofadhiliwa na mgodi huo.
![Picha Na 6](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/Picha-Na-61.jpg)
Meneja Mahusiano wa Mgodi wa Buzwagi uliopo Kahama, Shinyanga Bi. Dorothy Bikurakule (katikati) akielezea mchango wa mgodi huo katika uwezeshaji wa kikundi cha vijana cha ufyatuaji wa matofali cha Mwendakulima
Toa Maoni Yako:
0 comments: