Mke wa Makamu Makamu wa Rais, Asha Billal kulia akimjulia hali Mmoja wa wagonjwa wanaotibiwa katika kitengo cha Salatani wakati wa WAke wa Viongozi walipotembelea Kitengo hicho kwenye Hospital ya Aga Khan Dar es Salaam leo Aprili 28, 2014. Pembeni ni Mama Tunu Pinda. Wake wa viongozi walikuwa katika Hospitali ya Aga Khan katika kampeni ya kuhamasisha Watanzania kuwa natabia ya kuchunguza afya zao ilikujua mapema kama wanatatizo la Saratani nawaweze kupata matibu matibabu yanyo stahili.
 Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal (Kulia) akiwa na mlezi wa chama cha Wake wa Viongozi Mama Tunu Pinda (katikati)wakipata maelezo kutoka kwa Dr. Sittileila Twaha kuhusu saratani aliyokuwa nayo mgonjwa Rehema Hatibu (53) ambaye anapata matibu Wake wa viongozi walikuwa katika Hospitali ya Aga Khan katika kampeni ya kuhamasisha Watanzania kuwa natabia ya kuchunguza afya zao ilikujua mapema kama wanatatizo la Saratani nawaweze kupata matibabu yanyo stahili.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal (Kushoto) na Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda wakipata maelezo kutoka kwa Prof. Amyn Alidina ambaye ni mkuu wa kitengo kinachotoa huduma ya matibabu ya ugonjwa wa Saratani inayo tolewa katika Hospitali ya Aga Khan iliyopo jijini Dar es salaam Wake wa viongozi walikuwa katika Hospitali ya Aga Khan katika kampeni ya kuhamasisha Watanzania kuwa natabia ya kuchunguza afya zao ilikujua mapema kama wanatatizo la Saratani nawaweze kupata matibu matibabu yanyo stahili.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: