Bango la duka la vifaa pamoja na nguo za watoto lililopo Msasani jijini Dar es Salaam... Duka hilo linavifaa vyote vya watoto zikiwemo nguo za kisasa kwa ajili ya watoto wa kisasa. Karibu hasa kipindi hichi cha sikukuu maana bei zao ni nzuri.
 Nguo za watoto kuanzia miaka 5-13
 Sketi nzuri za kisasa.
 Gauni.
Vyoo vya watoto.
 Viatu vya watoto kuanzia mwezi mmoja
 Viatu vya watoto kuanzia mwaka 1 na kuandelea...
Mabegi.
 sketi za kisasa kabisa...
 vifaa vya kuchezea...
Vifaa kwa ajili ya chakula...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments: