Uchunguzi umenionyesha kuwa wengi wetu tunasali nyakati za kutaka kulala/ kuliko nyakati zingine za kuamka hata za mishe mishe za kawaida!!
Na uchunguzi ukaendelea kueleza kuwa wengi wetu tunasali nyakati za kutaka kulala tukiuhitaji UZIMA ila hasa tukiwa na hofu ya kulala MOJA KWA MOJA (Yaani milele yoote). TUKILIOGOPA HILO!!
Lakini nikachunguza na kuona kuwa ni wachache saana tunawasikia na kuwaona wakilala moja kwa moja wakati wapo usingizini (Yaani wakilala wasiamke teena!!)!!
Wengi huwakuta ktk hali tofauti na nyakati za wao kulala!!
Sasa je kwanini tunakuwa na hofu hii??? wakati wengi wetu HUONDOKA wakiwa katika mishe mishe zingine na za nyakati zingine!!
katika usafiri (ajali)/ kuumwa/ na kwingineko!!
Sasa je kwanini kule ndio TUSISALI KWA SAAAANA!!?????
na wengi wetu kule ndio tunajisahau saana na kuingia ktk mishe mishe na safari na kazi mbali mbali pasipo kusali!! (sio wote ila majority!)!
Ni vema tuombe ulinzi wakati wa kulala!!
ulinzi kutoka kwa baba!!
ulinzi wa kila kitu kilichotuzunguka na nyakati zote!!!
Lakini tunakuwa na hofu ya kulala moja kwa moja........
MBALI NA HIYO tunakuwa na hofu ya kutokuwa salama/ kutokuwa na wema!!
NDIYO MAANA NENO "USIKU MWEMA"
LINAKUWA LINAZINGATIWA SAAANA!!
kuliko asubuhi njema au mchana/ jioni njema!!
USIKU UNA NINI KWANI????
Basi tusali na kuamini katika muda wowote maana hatujui saa wala siku atakuja mwana wa ADAM ama UTATWALIWA muda gani!!
USIKU MWEMA MARAFIKI WA R.O.M.A!!!
Nashkuru kwa kutukumbusha kaka
ReplyDelete