Mkuu wa jimbo la Hai,Aminirabi Swai akiongoza ibada ya maziko katika makaburi ya kanisa hilo na kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Anastazia Saro.
mwakilishi wa serikali katika maziko ya marehemu Anastazia Saro ,mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiweka shada la Maua katika kaburi.
Mtoto Alvis Anthery akiweka shada la maua katika kaburi la Bibi yake marehemu Anastazia Saro.(picha na Dixon Busagaga). Poleni sana wadau wa Kajunason Blog mara ya kwanza niliwapa taarifa ya mazishi ya mama yake Ufo Saro yalipangwa kufanyika kesho, Ijumaa ila kutokana na mambo kubadilika yamefanyika leo. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali peponi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: