Meneja wa Vodacom Tanzania, Chunya Mkoa wa Mbeya Bw. Elisha Tengeni (kushoto) akimkabidhi wakala wa M-pesa wa hiyo, Bw.Damas Mtewele hundi yake yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya "Mkwanja kwa Wakala"yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom.Kampuni hiyo imetenga fedha taslimu kwa mawakala 810 wa M-pesa ambao wamejivunia kiasi cha Shilingi Milioni 81 ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo,hadi sasa kati ya Wakala 270 wamepatikana katika droo iliyochezeshwa leo ikiwa ni wiki ya tatu tangu kuanza kwa promosheni hiyo.
Home
Unlabelled
PROMOSHENI YA MAWAKALA YAZIDI KUCHANJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: