KISIMANI 1 f3a53
Koo mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika kukizunguka kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo Katika kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu cha Dodoma
[UDOM] 
MAJI 1 fb354
Baadhi ya
wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi
kilichopo katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho
kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya
kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine.
MAJI 2 f8953
Mkuu wa kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma, Kisima hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata Mafanikio ya kiafya na kimaisha: PICHA NA JOHN BANDA
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: