
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Azam Media, Rhys Torrington akizungumza na baadhi ya
Waandishi wa habari waliopata fursa ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi
za Kampuni hiyo juu ya uanzishwaji wa Televisheni yao ya Azam TV yenye
muonekano wa kisasa zaidi na yenye lengo la kukuza michezo mbali mbali
hapa nchini,zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Azam Media,Rhys Torrington akionyesha King'amuzi cha
Azam TV kwa baadhi ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) waliopata
fursa ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo,zilizopo eneo
la Tazara jijini Dar es Salaam.

Meneja
wa Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Azam Media, Loth Mziray (kulia)
akifafanua jambo kwa baadhi ya Waandishi wa habari waliopata fursa ya
kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo, zilizopo eneo la
Tazara jijini Dar es Salaam.
Zaidi na zaidi endelea kusoma Kajunason Blog.
Zaidi na zaidi endelea kusoma Kajunason Blog.


Toa Maoni Yako:
0 comments: