Hapa ni njia panda ya kwenda sweet corner na kuingilia stand
HAPA NI MAENEO YA STENDI KUU YA MKOA WA MTWARA NA HALI NDIO KAMA INAVYOONEKANA HAPO WANANCHI WAKIWA WAMEZUIA BARABARA NA KUCHOM MATAIRI.
Inayosemekana kuwa ni Nyumba ya waziri na ss imewshwa moto na wananchi
HII NDIYO INAYOSEMEKANA KUWA NI NYUMBA YA MH. MBUNGE WA MTWARA VIJIJINI BI. HAWA GHASIA AMBAYO IMEHARIBIWA NA MAWE NA KISHA KUTEKETEZWA KWA MOTO.
Vijana kwnye tension kubwa
BAADHI YA WANACHI WA MKOA WA MTWARA WAKIWA KATIKA MAPAMBANO HAYO.
Nyumba inayosemekana kuwa ya Mwnyekiti wa CCM
INAYOSEMEKANA KUWA NI NYUMBA YA MBUNGE MSTAAFU NA MWENYAKITI WA CCM MKOA WA MTWARA IKIWA IMWHARIBIWA KWA MAWE NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.
Stand ipo hivi tangu saa 10 jioni
STENDI KUU YA KUU YA MKOA WA MTWARA KAMA INAVYOONEKANA IKIWA HAKUNA IDADI KUBWA YA WATU  MAJIRA YA SAA KUMI JIONI WAKATI WA VURUGU HIZO.
Hapa ni karibu na Dubai restaurant
BARABARA ZOTE ZA MJINI MTWARA ZILIFUNGWA NA HII NI MOJA YA BARABARA ZA MTAA WA SINANI.
Mtwara...hapashikiki aiseee
MOTO ULIOWASHWA KATIKATI YA BARABARA. BAADA YA BARABARA HIZO KUFUNGWA.
mtwara mpya iyoo!
HALI SI HALI.

BARABARA HAZIPITIKI.
PICHA NA BLASIO KACHUCHU, MTWARA.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: