Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na maafisa wa ubalozi pamoja
na wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mara
alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis
Ababa, Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi
wenzie wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50
toka umoja wa Afrika (OAU na AU) kuanzishwa pamoja na mkutano wa
kawaida wa umoja huo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia,
Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi wenzie wa Afrika
pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50 toka umoja wa
Afrika (OAU na AU) kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida wa umoja
huo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisikilia maelezo toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Profesa Joram Biswalo maara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi wenzie wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50 toka umoja wa Afrika (OAU na AU) kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida wa umoja huo.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: