Msaniii wa Miondoko ya Hip Hop, Roma Mkatoriki akitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Mwanza waliofurika katika viwanja vya Furahisha Mkoani humo kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha uliofanyika mwishoni mwa wiki kwa siku mbili mfululizo.
Madee akifanya mambo Msanii wa Bongo Flava toka kundi la Tip Top Connection lenye makazi yake mtaa wa Manzese Dar es salaam maarufu kwa jina la Madee akitumbuiza katika tamasha maalum la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha lililofanyika mkoani Mwanza katika viwanja vya Furahisha mwishoni mwa wiki hii.
Msanii Chipukizi aliyeonyesha kipaji cha hali ya juu kwa kughani
mashairi yenye mvuto kwa miondoko ya HIPHOP wa mkoani Mwanza maarufu kwa
jina la Dogo D alifanya burudani kali katika tamasha maalum la Airtel
yatosha mkoani Mwanza katika viwanja vya Furahisha
Wananchi mbalimbali wa mkoani mwanza walijitokeza na kujiuga na Airtel ili waweze kutumia huduma za Airtel Yatosha.







Toa Maoni Yako:
0 comments: