Msanii wa muziki wa taarabu na bongo fleva, Hammer Q akiwa na mkewe ambaye wakati wa harusi yao. Kwa mujibu wa mashuhuda wa habari walisema kuwa kipigo hiki kilitokana mkewe kumtambulisha Hassan Tx Moshi kuwa ni kaka yake ndipo kilipotokea kizaa.
Baadhi ya picha za mkewe baada ya kipigooooo.
Mkewe akionyesha alama alizopata baada ya kipigo.
Mkewe akionyesha alama alizopata baada ya kipigo.
Baadhi ya ndugu wakiwa wamekusanyika kama msiba maana walijua mke wake amefariki baada ya kipigo kikali. Picha zote kwa hisani ya http://didamitikisiko.blogspot.com



Toa Maoni Yako:
0 comments: