Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Joseph Kabila wa Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kabla ya kufanya naye mazungumzo Ikulu
jijini Dar es Salaam, Januari 30. 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es
salaam, Januari 30. 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es
salaam, Januari 30. 2013

Toa Maoni Yako:
0 comments: