Ofisa Masoko wa Benki ya ABC Evelyne Auguste akizindua mtandao wa http://www.ligikuu.co.tz/ utakaoandika habari za Ligi Kuu ya Vodacom, uliozinduliwa jana kwenye Hoteli ya JB Belmonte jijini Dar es salaam, kutoka kulia katika picha wanaoshuhudia tukio hilo ni Rodney Rugambo Meneja Masoko wa Push Mobale, Wawila Nzowa Meneja Maendeleo ya Biashara kampuni ya Lajann E Systems na kushoto ni Dennis Rauya Meneja wa Benki ya ABC tawi la Quality Centre jijini Dar es salaam na Salum Mwalimu Meneja Mawasiliano wa Vodacom
Kutoka kulia ni Rodney Rugambo, Wawila Nzowa, Evelyne Auguste na Dennis Rauya wakifuatilia maelezo ya mmoja wa wataalam wa mtandao huo wakati wa uzinduzi huo.
Ofisa Masoko wa Benki ya ABC Evelyne Auguste akitoa maelezo juu ya udhamini wa benki hiyo kwa mtandao wa Ligikuu.
Rodney Rugambo Meneja Masoko wa Push Mobile akizungumzia udhamini wa kampuni hiyo kwa mtandao huo ili kuboresha mchezo wa miguu hapa nchini .
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salim Mwalim akiishukuru kampuni hiyo kwa kuanzisha mtandao huo ambao amesema utasaidia sana kutangaza mpira wa miguu nje ya nchi na kuwatangaza wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodacom.
Toa Maoni Yako:
0 comments: