Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika katika onesho lake maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo Othumani Kambi wa pili kulia wengine ni Hassani Moshi kushot Eddo Sanga na Juma Katundu onesho lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni.
Mashabiki wa bendi ya msondo music wakicheza kwa furaha wakati wa onesho maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo Othumani Kambi. Picha na www.burudan.blogspot.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: