Habari za leo wadau wote na poleni na kazi, Tulikuwa tunaomba mtusaidie kutuwekea uzinduzi wa kupiga Kura kupitia Mtandaoni. Tunatanguliza Shukurani zetu. Asanteni

Ili kuongeza ushiriki wa wananchi , Bodi ya Miss Utalii Tanzania imezindua Rasmi upigaji Kura wa kumpata mshindi wa taji la Miss Utalii Tanzania 2012/13 kupitia tovuti. Fulusa hii ni kwa watu wote ndani na Nje ya Tanzania.

Bofya Link Hii kumpigia Kura Mrembo wa Mkoa wako ashinde: http://misstourismorganisation.blogspot.com/p/meet.html
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: