Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Clementi Sanga.

Mkutano wa Yanga uliofanyika leo umewafuta uanachana aliyekuwa Afisa habari Louis Sendeu na aliyekuwa Katibu Mkuu Selestine baada ya wao kwenda mahakamani kuishitaki yanga.

Wanachama hao walikwenda mahakamani kudai stahili zao walipokuwa wafanyakazi wa klabu hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: