
Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info
hauko hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza
mapema leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu. Ni maratajio yetu
kuwa tatizo lililopo litatatuliwa mapema na Mtandao kurudi katika hali
yake ya kawaida. Hata hivyo kwa wale wanaosoma magazeti yetu On Line,
wataendelea kusoma kama kawaida kwa kwenda moja kwa moja kwenye anauani
hii: http://www.mypublications. info/globalpublishersltd
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utaojitokeza katika kipindi hiki.
Asanteni kwa uvumilivu wenu
Web Master
Global Publishers Ltd
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utaojitokeza katika kipindi hiki.
Asanteni kwa uvumilivu wenu
Web Master
Global Publishers Ltd


Toa Maoni Yako:
0 comments: