Wahandisi wa shirika la ndege la ATCL, Karwani na Mwakipesile wakimalizia matengenezo kwa kubadilisha kioo kilichopata ufa. Baada ya ukarabati huo, safari za Kigoma zinatarajiwa kuendelea kuanzia Jumatano hii. Ndege ya ATCL kutoka Kigoma kuelekea Dar wiki iliyopita ilipasuka kioo cha mbele wakati ikiwa angani, na kujikuta ikitua kwa dharura .
Home
Unlabelled
ILE NDEGE YA ATCL ILIYOPASUKA KIOO KUANZA SAFARI YAKE YA DAR- KIGOMA JUMATANO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments: