Siyo mimi hata wao wamechangia mafanikio yangu...
Mlale sasa jamani sawa, msisahau kushusha 'vyandarua' maana mbu hawajui mwaka mpya.
Kumbukeni kauli ya Mh. Rais wa Jamhuri ya Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kuhamasisha kujikinga dhidi ya malaria. 
Hakika Mungu ni mwema,
Mungu ni Mwaminifu,

Big ups 2  Mablogger wote bila kuchambua nani ni nani...

Clouds fm, RadioFree Africa, Star Tv Crew, TBC One, Radio One,  Passion Fm, Zenji Fm, Magic Fm, Times Fm, Living Water Fm, Iqrq Fm,  City FmMwanza,Radio Five Arusha, Radio Maria, Ebony Fm, Kwaneema Fm,  Kasibante Fm, Victoria Fm and the power full coming radio 

Dira Fm.
Vwala its me Albert G. Sengo CEO gsengo blog
Tumshukuru Mungu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: