GARI LA JESHI LA SABABISHA AJALI MBAYA DAR KARIBU NA IDARA YA HABARI MAELEZO, MWANAJESHI MMOJA AJERUHIWA VIBAYA, KISA KUJAZA VIFAA KUPITA KIASI JAMAA ALIKUWA AMENING'INIA JUU YA GARI AINA YA IVECO LILILOKUWA LIMEBEBA MIZIGO ILIYOJAA KUPITILIZA. ASKARI HUYO ALIJIGONGA JUU YA MTI NA KUDONDOKA CHINI NA KUPASUKA KICHWA. LIJA YA KUJAZA GARI HILO LILIKUWA LIMEVUNJA SHERIA KUPITA BARABARA ILIYOSTAHILI KUPITA MAENEO YA IDARA YA HABARI MAELEZO. KWA WANAOJUA BARABARA HIYO HUWA HAIRUHUSIWI KUPANDA KUTOKEA MAENEO YA CHUO CHA IFM, ASKARI HAO WALIPITA BARABARA HIYO WAKITOKEA CHINI CHUO CHA IFM NA KUPANDISHA MOJA KWA MOJA MNARA WA ASKARI. HALI HIYO ILISABABISHA MADEREVA TAIX KUMKATAA MGONJWA HUYO MPAKA ALIPOPAKIWA KWENYE BAJAJI ILI KUPELEKWA HOSPITALI.
HEKA HEKA ZIKIENDELEA.
MTI ULIOSABABISHA AJALI HIYO. PICHA NA TULLO CHAMBO, DAR ES SALAAM.
Toa Maoni Yako:
0 comments: