Rais wa Bend ya FM Academia Nyoshi el Sadaat (kulia) akizungumzia furaha waliyoipata kuwezeshwa na Tigo katika kusherehekea miaka 15 tangu kuanzishwa kwa bendi hiyo katika sherehe za kukata na shoka zitakazofanyika Ijumaa hii katika Ukumbi wa New Msasani Beach Club.

Toa Maoni Yako:
0 comments: